Msimu uliopita, Mshambuliaji wa Simba Mohammed Rashid alitolewa kwa mkopo kunako klabu ya KMC
Hata hivyo KMC haionekani kutaka kuendelea nae baada ya kusajili washambuliaji watatu Salim Aiyee, Vitalis Mayanga na Ramadhani Kapera
Mo Rashidi yuko hatarini kuvunjiwa mkataba wake wa mwaka mmoja uliobaki katika klabu ya Simba
Mshambuliaji huyo alishindwa kumshawishi kocha Patrick Aussems, huenda akaibukia klabu ya Namungo Fc
ADVERTISE HERE