Ujenzi uwanja wa Simba Bunju unaendelea

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Jul 2019
Ujenzi uwanja wa Simba Bunju unaendelea

Uongozi wa Simba umepanga kukamilisha ujenzi wa uwanja wake ulioko Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es salaam ili uanze kutumika kwa ajili ya mazoezi

Awamu ya pili ya ujenzi wa uwanja huo ilishaanza chini ya usimamizi wa Robert Richard, Meneja wa zamani wa Simba

Mchakato wa kujenga miundombinu ukikamilika, zoezi la kutandika nyasi bandia litaanza

Simba imeshazikomboa nyasi zake zilizokuwa zinashikiliwa na TRA kutokana na madai ya kodi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’