Gadiel Michael anasubiri kutangazwa Msimbazi kuchukua nafasi ya Asante Kwasi ambaye mkataba wake umemalizika
Licha ya kupewa masaa 24 na uongozi wa Yanga asaini mkataba, Gadiel amekaidi amri hiyo huku ikielezwa tayari alishamwaga wino Msimbazi siku nying tu
Ujio wa Gadiel utaimarisha safu ya ulinzi ya Simba upande wa kushoto kwani Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr' atakuwa na changamoto ya kulinda nafasi yake
Usajili wa Gadiel ni pendekezo la kocha Patrick Aussems
ADVERTISE HERE