Mpaka sasa Simba imesajili nyota 10 wapya, sita wa kigeni na wanne wazawa
Wachezaji wazawa waliotua Simba ni Beno Kakolanya, Kennedy Juma, Ibrahim Ajib na Miraji Athumani
Wachezaji wa kigeni waliosajiliwa Simba mpaka sasa ni Tairone Santos da Silva, Wilker Henrique da Silva, Gerson Fraga Viera, Shariff Elden Shiboub, Deo Kanda na Francis Kahata
Simba bado ina nafasi moja ya kukamilisha idadi ya wachezaji 10 wa kigeni huku pia kukiwa na uwezekano wa kusajili mchezaji mmoja mzawa
Majembe tisa ya kigeni!

ADVERTISE HERE