Aussems kutua wiki ijayo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Jul 2019
Aussems kutua wiki ijayo

Mabingwa wa Tanzania Bara Simba kwa sasa wako katika hatua za mwisho kukamilisha usajili tayari kuanza maandalizi ya msimu mpya

Kocha Mkuu wa mabingwa hao wa nchi Patrick Aussems anatarajiwa kuwasili nchini wiki ijayo

Simba itaweka kambi Afrika Kusini ambapo taarifa za awali zinabainisha kambi hiyo itaanza kati ya Julai 14-16

Simba itakuwa na takribani wiki tatu za mazoezi kisha kurejea nchini kwa ajili ya SIMBA DAY August 08

Aidha mwaka huu michuano ya ligi ya mabingwa hatua ya awali itaanza mapema mwezi wa nane

Droo ya michezo ya awali inatarajiwa kufanywa baadae mwezi huu baada ya michuano ya Afcon kumalizika huko Misri

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
43m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’