Wakati dirisha la usajili likitarajiwa kufungwa leo saa 5.59 usiku, Simba imekusudia kukamilisha usajili wa wachezaji iliyowataka kwa wakati.
Bila shaka Simba itamalizana kwa wakati na klabu ya Lipuli juu ya usajili wa beki raia wa Ghana, Asante Kwasi.
Mbali na Jonas Sekuhawa, Hassani Kabunda kutoka Mwadui FC na Kassimu Khamisi kutoka Tanzania Prisons, nao wamekuwa kwenye mazungumzo na uongozi wa Simba.

ADVERTISE HERE