Makonda awazuia Nyoni, Yondani kustaafu Stars

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Jul 2019
Makonda awazuia Nyoni, Yondani kustaafu Stars

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amepinga uamuzi wa wachezaji Kelvin Yondani na Erasto Nyoni kustaafu kuitumikia timu ya Taifa

Wachezaji hao walitangaza kustaafu kuichezea Stars muda mfupi baada ya timu hiyo kuondoshwa michuano ya Afcon 2019 hatua ya makundi

Hata hivyo baada ya Stars kurejea nchini jana, Makonda alipinga hatua hiyo na kuwataka waendelee kulitumikia Taifa

Wachezaji hao wamekubali kuendelea kuichezea Stars

Yondani na Nyoni ndio wachezaji waliocheza timu ya Taifa kwa muda mrefu, wakiitumikia timu hiyo kwa zaidi ya miaka 11

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
16h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
19h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
2d ago
READ MORE β†’