Wakati wengine wakipika majungu kuvuruga amani iliyotamalaki kunako klabu ya Simba, viongozi wa timu hiyo hawana presha na wanaendelea na michakato ya usajili
Hivi leo kiungo wa Gor Mahia Francis Kahata amewasili kukamilisha usajili wake Msimbazi
Kahata ameunganisha kuja nchini kumalizana na Simba akitokea Kenya
Inaelezwa mazungumzo na Kahata tayari yamekamilika ambapo kiungo huyo fundi anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka miwili
ADVERTISE HERE