Kahata atua kumalizana na Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
•
4 Jul 2019
Kahata atua kumalizana na Simba

Wakati wengine wakipika majungu kuvuruga amani iliyotamalaki kunako klabu ya Simba,  viongozi wa timu hiyo hawana presha na wanaendelea na michakato ya usajili

Hivi leo kiungo wa Gor Mahia Francis Kahata amewasili kukamilisha usajili wake Msimbazi

Kahata ameunganisha kuja nchini kumalizana na Simba akitokea Kenya

Inaelezwa mazungumzo na Kahata tayari yamekamilika ambapo kiungo huyo fundi anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka miwili

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE →
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE →
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE →
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE →
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE →
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE →
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE →
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE →
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE →