Kumekuwa na taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Mwekezaji wa klabu ya Simba ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Mohammed Dewji atajiuzulu nafasi yake.
Taarifa hizi hazina uthibitisho wowote na hazipaswi kuwavuruga Wanamsimbazi
Kama kuna tatizo lolote ni uongozi wa Simba ambao utatoa taarifa kwa Wanachama na mashabiki wake
Aidha Mo mwenyewe hajatoa tamko lolote juu ya suala hilo
Naamini kama kungekuwa na sintofahamu hiyo, ni dhahiri angejitokeza hadharani kulizungumzia hilo
ADVERTISE HERE