Unamkumbuka yule beki wa kulia aliyeitumikia Simba msimu wa 2016/17 Mcongomani Besala Janvier Bukungu?
Klabu ya KMC imekamilisha usajili wake kwa mkataba wa mwaka mmoja
Bukungu alikuwemo kwenye kikosi cha Simba kilichokuwa kikinolewa na Joseph Omog ambaye alikuwa akisaidiwa na Jackson Mayanja kocha wa sasa wa KMC
Bukungu ni mmoja wa mabeki bora wa upande wa kulia waliopita klabu ya Simba, suala la umri ndio kilikuwa kikwazo kwake kuendelea kusalia Msimbazi kwa muda mrefu
ADVERTISE HERE