AS Vita yajitosa kumuwania Niyonzima

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Jul 2019
AS Vita yajitosa kumuwania Niyonzima

Aliyekuwa kiungo wa Simba Haruna Niyonzima huenda akasajiliwa na AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

Baada ya kushindwa kufikia makubaliano na uongozi wa Simba, Niyonzima alirejea kwao Rwanda kwa ajili ya mapumziko huku akiwa na ofa ya timu hiyo

Mbali na AS Vita, inaelezwa Niyonzima ana ofa mbili kutoka timu za hapa Tanzania

Niyonzima alin'gara kwenye kikosi cha Simba tangu alipoanza kupata nafasi kwenye kikosi cha Patrick Aussems mapema mwaka huu

Hata hivyo utovu wa nidhamu na kutaka dau kubwa la usajili ndizo sababu zilizomuondoa Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’