Wiki hii kuna watu watazimia - Magori

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Jul 2019
Wiki hii kuna watu watazimia - Magori

Mtendaji wa klabu ya Simba Crescentius Magori amesema timu hiyo inaendelea na michakato ya usajili na zoezi hilo watalikamilisha wiki hii

Akizungumza na waandishi wa habari baada ya Simba kusaini mkataba wa mwaka mmoja na kampuni ya A-one kudhamini kinywaji cha Mo Xtra kwa Tsh Milioni 250, Magori alisema wiki hii watatambulisha wachezaji zaidi waliosajiliwa na Simba

"Wiki hii ndio mbaya kabisa, tutatambulisha wachezaji wote tuliowasajili," amesema Magori

"Kuna usajiri mkubwa ambao unaweza ukawafanya watu wakazimia kabisa..!"

Simba inadaiwa kukamilisha usajili wa nyota kadhaa wakiwemo kiungo Francis Kahata kutoka Gor Mahia, Walter Bwalya kutoka Nkana Fc na Ibrahim Ajib ambaye utambulisho wake unasubiriwa kwa hamu

Usajili wa CAF uliokuwa ufike tamati jana, umeongezwa siku 10 zaidi ambapo tarehe ya mwisho ya kukamilisha usajili bila faini ni Julai 10 2019

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’