Klabu ya Simba na kampuni ya A-one wazalishaji wa kinywaji cha Mo Xtra leo wametia saini mkataba wa udhamini wa mwaka mmoja
Mkataba huo utaiingizia Simba Tsh Milioni 250 kukitangaza kinywaji hicho
Simba na A-one ziliingia makubaliano msimu uliopita ambapo pia Simba ilivuna Tsh Milioni 250
ADVERTISE HERE