Takwimu zilizotolewa na Bodi ya ligi jana kuhusu mapato yaliyotokana na viingilio vya mashabiki, zinaonyesha Simba imeendelea kuongoza kwa kuingiza pesa nyingi kupitia mashabiki wanaofika viwanjani
Kwa mujibu wa takwimu hizo, Simba imetengeneza zaidi ya Tsh Milioni 354 ikifuatiwa na Yanga ambayo imetengeneza Milioni 315. Biashara United imeshika nafasi ya tatu ikitengeneza Tsh Milioni 65 wakati Mbeya City ni ya nne, imetengeneza Milioni 63

ADVERTISE HERE