Utambulisho wa Ajib wasubiriwa kwa hamu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Jun 2019
Utambulisho wa Ajib wasubiriwa kwa hamu

Aliyekuwa nahodha wa Yanga Ibrahim Ajib wakati wowote atatambulishwa kuwa mchezaji halali wa Simba baada ya mkataba wa wake na Yanga kumalizika

Ajib alisaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Yanga Juni 30 2017 na leo ndio siku ambayo mkataba wake unamalizika kabisa

Licha ya kuhusishwa kusajiliwa na Simba kwa muda mrefu, mchezaji huyo hakutambulishwa rasmi kutokana nna kikwazo cha mkataba

Kuanzia kesho Simba itakuwa huru kumtambulisha fundi huyo wa mpira

Ajib ni mmoja wa wachezaji walion'gara kwenye timu ya Yanga msimu uliopita, akiifungia timu hiyo mabao 6 na kutoa pasi 15 za mabao

Usajili wake kutua Simba umezungumzwa sana  na bila shaka atakapotambulishwa atatikisa miongoni mwa wachezaji waliosajiliwa na Simba mpaka sasa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’