Simba kukamilisha usajili wa majembe ya CAF

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Jun 2019
Simba kukamilisha usajili wa majembe ya CAF

Uongozi wa klabu ya Simba uko 'busy' kukamilisha usajili wa kikosi chake kwa ajili ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika msimu ujao

Dirisha la usajili wa michuano ya CAF ambalo awali ilikuwa lifungwe leo, litafungwa Julai 10 kwa usajili wa bila faini.

Timu zote zitakazoshiriki michuano ya CAF msimu ujao, zinapaswa kuwasilisha vikosi vyao ndani ya muda uliopangwa

Nyota kadhaa wa kigeni wamewasili nchini kumalizana na Simba ambapo huenda kesho usajili wa nyota hao ukawekwa hadharani

Usajili wa Simba unaoendelea sasa umelenga zaidi michuano ya ligi ya mabingwa

Kutokana na sababu hiyo, Simba imesajili nyota kutoka sehemu mbalimbali ndani na nje ya Afrika

Nyota watatu mabeki Tairone Santos da Silva, Gerson Fraga Vieira na mshambuliaji Wilker Henrique wamesajiliwa kutoka Brazil

Kiungo Sharif Elden Shiboub ametua kutoka nchini Sudan

Wachezaji wa ndani ambao wamesajiliwa ni mlinda lango Beno Kakolanya, beki Kennedy Juma, winga Miraji Athumani na kiungo Ibrahim Ajib

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
8h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
14h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’