Beki mpya wa Simba Gerson Fraga Vieira leo alitembelea uwanja wa Taifa ikiwa ni ziara ya kuyafahamu mazingira ya jiji la Dar es salaam
Vieira aliyesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Simba, nusu ya michezo ya ligi kuu msimu ujao, ataicheza katika dimba hilo
Ni kama beki huyo raia wa Brazil anaona muda unachelewa wa kuanza kuitumika rasmi kabla ya Simba
Hata hivyo Simba inatarajiwa kuingia kambini mapema mwezi ujao
ADVERTISE HERE