Kikosi cha Simba kinatarajiwa kushuka tena dimbani leo Ijumaa Novemba 15 kuumana na African Lyon katika mchezo wa kirafiki.
Mchezo huo utapigwa kwenye dimba la Azam Complex, Chamazi jijini Dar es salaam.
Mchezo huo ni mwendelezo wa maandalizi ya kuelekea mchezo wa kombe la FA dhidi ya Green Warriors Disemba 22 na mchezo wa mzunguuko wa 12 ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Ndanda FC Disemba 30

ADVERTISE HERE