Mlinda lango wa Simba na timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Aishi Manula ni miongoni mwa nyota wanaon'gara michuano ya Afcon 2019 inayoendelea nchini Misri
Baada ya mzunguuko wa kwanza, Manula amewafunika makipa wengine kwenye michuano hiyo baada ya kuongoza kwa kuokoa michomo iliyoelekezwa langoni
Kulingana na takwimu zilizotolewa na CAF, Manula amezuia mashuti nane yaliyoelekezwa langoni kwenye mchezo dhidi ya Senegal

Leo anatarajiwa kuibeba Stars kwenye mchezo dhidi ya Kenya utakaopigwa saa tano usiku
ADVERTISE HERE