Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Crescentius Magori, Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba
Magori amefikisha miaka 55
Uongozi wa klabu ya Simba kupitia Bodi ya Wakurugenzi, umemtakia kila la kheri kwenye maisha yake
"Afisa Mtendaji Mkuu, Crescentius Magori leo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa, amefikisha miaka 55. Bodi ya Wakurugenzi, Secretariat, wachezaji na benchi la ufundi tunamtakia kila kheri kwenye maisha yake. Tunakuombea kwa Mungu akuongezee hekima, busara na upendo"..Simba Sc
Magori anatarajiwa kuondoka Simba mapema mwezi wa nane baada ya mkataba wake kumalizika
ADVERTISE HERE