Sintofahamu kuhusu kiungo James Kotei imefika tamati leo baada ya klabu ya Kaizer Chiefs inayoshiriki ligi kuu ya Afrika Kusini kumtambulisha rasmi baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu
Kotei amejiunga na timu hiyo akiwa mchezaji huru baada ya kushindwa kufikia makubaliano ya mkataba mpya na uongozi wa Simba
Tunamtakia kila la kheri, huduma yake itaendelea kukumbukwa daima Msimbazi..
ADVERTISE HERE