Kocha wa zamani Simba atua KMC

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Jun 2019
Kocha wa zamani Simba atua KMC

Klabu ya KMC inayomilikiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imemtambulisha kocha Jackson Mayanja kuwa kocha Mkuu wa timu hiyo

Mayanja anachukua nafasi ya Etienne Ndayiragije aliyejiunga na Azam Fc mapema mwezi huu

Mayanja amewahi kufanya kazi kwenye benchi la ufundi la Simba chini ya Mcameroon Joseph Omog

Baada ya kuondoka kocha huyo ndio akaja Masudi Djuma ambaye naye aliondoshwa mwishoni mwa mwaka jana nafasi yake ikichukuliwa na Denis Kitambi anayefanya kazi sasa na Patrick Aussems

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
18h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
21h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’