Chama aongeza miaka miwili Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Jun 2019
Chama aongeza miaka miwili Simba

Kiungo fundi Clatous Chama naye ameongeza miaka miwili kuendelea kuwatumikia mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba

Mzambia huyo aliyetua Simba msimu uliopita kutoka Power Dynamos, ataendelea kubaki Msimbazi kwa miaka miwili zaidi

Uongozi wa Simba umethibitisha leo kuongezwa mkataba wa Chama kupitia utaratibu wake wa kutambulisha wachezaji waliosajiliwa unaofanyika kila siku saa saba mchana

"Mfungaji wa magoli ya mwisho ambayo yalitupeleka kwenye hatua ya makundi na robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Clatous Chota Chama (Triple C) bado yupo sana Msimbazi. Mwamba wa Lusaka ataendelea kuwa sehemu ya kikosi cha Mabingwa baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka miwili," imesema taarifa ya Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’