Magori afunguka usajili wa Kotei

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Jun 2019
Magori afunguka usajili wa Kotei

Mtendaji Mkuu wa Simba Crescentius Magori amesema suala la usajili wa kiungo James Kotei ni makubaliano binafsi ya mchezaji na klabu

Akihojiwa na eFM mapema leo, Magori amesema utaratibu uliopo ni kuwa wanawatangaza wachezaji waliosajiliwa baada ya kumalizana nao

Hivyo suala la Kotei haliwezi kuwekwa wazi sasa kwa kuwa bado kuna mazungumzo yanaendelea baina ya pande mbili

Kumekuwa na sintofahamu kuhusu usajili wa kiungo huyo raia wa Ghana ambaye tetesi zimesambaa kuwa Yanga imejitosa kuiwania saini yake licha ya Makamu Mwenyekiti wa timu hiyo kukanusha

Upo uwezekano mkubwa kiungo huyo hataendelea kubaki Msimbazi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
14h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
17h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’