Mazoezi ya Kagere huko Rwanda usipime

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Jun 2019
Mazoezi ya Kagere huko Rwanda usipime

Baada ya msimu kumalizika, wachezaji ambao hawakuwa na majukumu ya timu za Taifa zinazoshiriki michuano ya Afcon 2019, walirejea makwao kwa ajili ya mapumziko

Meddie Kagere mfungaji bora wa ligi kuu ya Tanzania Bara ni miongoni mwa wachezaji wa Simba ambao wako mapumziko wakisubiri kuanza kwa msimu mpya

Hata hivyo Kagere anaendelea kujifua kikamilifu kuelekea msimu mpya

Baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuwatumikia Simba mabingwa wa Tanzania Bara, Kagere amepania kuendeleza moto aliomaliza nao msimu

Kagere aliibuka kuwa mfungaji bora wa ligi kuu ya Tanzania Bara akifunga mabao 23 huku pia akin'gara kwenye michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika, akifunga mabao sita kwenye michuano hiyo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
13h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
17h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
23h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’