Okwi aanza na mguu mzuri Afcon

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Jun 2019
Okwi aanza na mguu mzuri Afcon

Mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi jana aliibeba timu ya Taifa ya Uganda kuipa kichapo cha mabao 2-0 DR Congo inayonolewa na makocha watatu akiwemo Mwinyi Zahera wa Yanga

Kwenye mchezo huo Okwi aliibuka nyota wa mchezo akiifungia Uganda bao la pili

'Okwinyo' alikuwa kwenye ubora wa hali ya juu, na hakika Mganda huyo 'anatisha'

Kumekuwa na taarifa kuwa Simba imeachana nae baada ya kushindwana upande wa maslahi

Lakini hakuna shaka Simba inamuhitaji sana Okwi kwani uzoefu wake kwenye michuano ya Kimataifa ni silaha muhimu kuelekea michuano ya ligi ya mabingwa msimu ujao

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’