Mabingwa wa kombe la FA nchini Tanzania Simba wamepangwa na klabu ya Gendamarie ya Djibout katika hatua za awali michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika.
Mchezo wa kwanza unatarajiwa kupigwa nchini kati ya Feb 9-11 kabla ya mchezo wa marudiano kupigwa huko Djibout kati ya Feb 16-18.
Mshindi atatinga hatua ya kwanza ya mtoano ya michuano hiyo namba mbili kwa ukubwa baada ya ile ya ligi ya mabingwa.
Katika raundi ya kwanza kama Simba itashinda basi itakutana na mshindi kati ya El Masry toka Misri na Green Buffaloes ya Zambia.
Raundi ya pili itahusisha mshindi wa hatua za hapo juu na timu itakayotolewa kwenye raundi ya kwanza michuano ya ligi ya mabingwa.
Mshindi wa hatua hii atatinga raundi ya mwisho ambayo ni hatua ya Makundi.

ADVERTISE HERE