Usajili wetu ni kwa ajili ya michuano ya Kimataifa - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Jun 2019
Usajili wetu ni kwa ajili ya michuano ya Kimataifa - Manara

Msemaji wa Simba Haji Manara amesema usajili wa timu hiyo unaofanywa sasa unazingatia zaidi michuano ya ligi ya mabingwa kwani anaamini kwa hapa nyumbani wana uhakika wa kutwaa ubingwa

Katika utaratibu wao wa kutambulisha wachezaji wapya, jana Simba ilimtambulisha mshambuliaji kutoka Brazil Wilker Henrique da Silva aliyesaini mkataba wa miaka miwili

Baada ya utambulisho huo Manara alitamba kuwa usajili huo umelenga zaidi michuano ya CAF

"Wakati wenzetu wakisajili kwa kutaka kushindana na sisi, tumeshatoka huko.. sisi tunatengeneza timu imara ambayo itapambana na timu vigogo wa Afrika," amesema Manara

"Kazi ndio imeanza, Jumatatu tutaendelea na zoezi la kutambulisha wachezaji wapya"

Da Silva anakuwa mchezaji wa pili wa kigeni kusajiliwa na Simba ambayo juzi ilimtambulisha kiungo kutoka Sudani Sharaf Elden Shiboub 'Master'

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’