Mchezo wa kirafiki kati ya Gambina Fc dhidi ya Simba umemalizika kwa mabingwa wa Tanzania Bara kuibuka na ushindi wa mikwaju ya penati 4-2 baada ya matokeo ya sare ya bao 1-1
Simba ilitokea nyuma na kusawazisha bao kwenye dakika ya 83 kupitia mpira wa adhabu uliopigwa na kiungo Said Khamis Ndemla
Mchezo huo uliohitimisha hafla ya uzinduzi wa uwanja wa Gwambina, ulikuwa ni lazima utoe mshindi hivyo changamoto ya mikwaju ya penati ikatumika kuamua matokeo hayo
Wachezaji wa Simba walifunga mikwaju yote minne waliyopiga wakati Gwambina walikosa mikwaju miwil
ADVERTISE HERE