Mtoto wa Mohammed Ibrahim 'Mo' azikwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Dec 2017
Mtoto wa Mohammed Ibrahim 'Mo' azikwa
Mtoto wa kiungo mshambuliaji wa Simba Mohammed Ibrahim 'Mo' amezikwa leo nyumbani kwa mchezaji huyo Mbagala jijini Dar es salaam.

Mazishi ya mtoto huyo mchanga yamehudhuriwa na wachezaji wa Simba, viongozi wakiongozwa na Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mwawasiliano Haji Manara.

Mtoto huyo alifariki jana baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Mwenye ez Mungu aiweke roho yake Mahali Pema, Peponi, AMEN.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
14h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
17h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
23h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’