Kikosi cha Simba kimeondoka mapema leo jijini Dar es salaam kwa usafiri wa Ndege kuelekea Mwanza, wilaya ya Misungwi ambako kesho kitacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Gwambina Fc
Simba imealikwa na timu hiyo kwenye hafla ya uzinduzi wa uwanja
Uongozi wa Simba umesema baadhi ya nyota waliosajiliwa, wataweza kucheza mchezo huo

ADVERTISE HERE