Kamati ya michuano ya kombe la Mapinduzi linalotarajiwa kuanza visiwani Zanzibar Disemba 30 imeiongeza klabu ya Singida United kwenye michuano hiyo.
Singida United imetupwa kundi B sambamba na Yanga, Zimamoto, Taifa ya Jan'gombe, JKU na Mlandege hivyo kufanya kundi hilo kuwa na timu sita.
Kundi A limeendelea kubaki na timu tano ambazo ni Azam FC, Jamhuri, Mwenge, Simba na URA.
Ratiba ya michuano hiyo itafanyiwa marekebisho baada ya kuongezwa kwa Singida United.

ADVERTISE HERE