Simba bado haijaweka hadharani mchezaji aliyesaini mkataba kama ilivyo kawaida yake ya saa saba mchana
Hata hivyo, imedokeza ujio wa nyota wa kigeni ambaye hata hivyo jina lake halijawekwa hadharani
"Anaitwaje huyu? Tusubiri kidogo," imesema taarifa fupi ya Simba
ADVERTISE HERE