Kiungo mshambuliaji wa Simba Mohammed Ibrahim 'Mo' amepata msiba wa kufiwa na mwanawe mdogo.
WanaSimba wote tunaungana nae na kumpa pole katika msiba huo ulioikumba familia yake.
Mungu awape uvumilivu yeye na mkewe kwenye kipindi hiki kigumu.

ADVERTISE HERE