Kagera atabaki Msimbazi kwa miaka mitatu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Jun 2019
Kagera atabaki Msimbazi kwa miaka mitatu

Baada ya kuongeza mkataba wa miaka miwili, mshambuliaji wa Simba Meddie Kagere sasa ataendelea kubaki Msimbazi kwa miaka mitatu

Wakala wa mchezaji huyo Patrick Gakumba amethibitisha kuwa Kagere alikuwa na mkataba wa mwaka mmoja kabla ya kuongeza miaka miwili

Simba imeamua kumpa Kagere mkataba wa muda mrefu kutokana na mchezaji huyo kuzivutia timu nyingi barani Afrika

Kama Simba ikiamua kumuuza wakati akiwa na mkataba wa mda mrefu itavuna pesa nyingi zaidi

Hivi karibuni Mtendaji wa Simba Crescentius Magori alisema timu kadhaa zimewasilisha ofa mezani zikitaka kumsajili mshambuliaji huyo aliyeibuka mfungaji bora ligi kuu ya Tanzania Bara baada ya kufunga mabao 23

cut

Miongoni mwa timu hizo ni pamoja na Zamaleki ambayo jana Gakumba alikanusha tetesi za timu hiyo kutaka kutoa kitita cha Bil 1.2 ili kumsajili

Timu nyingine zilizoonyesha nia ya kumtaka Kagere ni Mamelodi Sundowns na TP Mazembe

Kagere amekuwa na mchango mkubwa kwenye kikosi cha Simba, Mo ana kila sababu ya kumzuia asiondoke

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
56m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’