Zinazoshiriki michuano ya CAF zatakiwa kuharakisha usajili

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Jun 2019
Zinazoshiriki michuano ya CAF zatakiwa kuharakisha usajili

Dirisha la usajili Tanzania lilifunguliwa Juni 15 2019 na linatarajiwa kufungwa Julai 31 2019

Hata hivyo Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeitaka Simba na timu nyingine zitakazoshiriki michuano ya CAF msimu ujao zikamilishe usajili ifikapo Juni 30 2019

Dirisha la usajili wa CAF litafungwa Julai 01, 2019

Simba mabingwa wa Tanzania Bara watashiriki michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika msimu ujao sambamba na Yanga ambayo walipata nafasi kutokana na mafanikio ya Simba ya kufika robo fainali ya michuano hiyo msimu uliopita

Azam Fc na KMC zenyewe zitashiriki michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika

Simba inaendelea kutambulisha wachezaji waliosajiliwa kuitumikia timu hiyo msimu ujao

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’