Gakumba amekanusha taarifa za Kagere kumalizana na Zamaleki

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Jun 2019
Gakumba amekanusha taarifa za Kagere kumalizana na Zamaleki

Patrick Gakumba ambaye ni wakala wa mshambuliaji hatari wa Simba Meddie Kagere, amesema taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa mteja wake amemalizana na Zamaleki ya Misri hazina ukweli wowote

Gakumba amesisitiza kuwa Kagere bado ana mkataba na Simba hivyo hawezi kufanya mazungumzo na timu nyingine bila ya ruhusa ya uongozi wa timu hiyo

"Mimi sina tamaa ya pesa, nilisema Kagere anamilikiwa na Simba wao ndio wenye mamlaka na mchezaji wao sasa mimi nitamuuzaje?," amehoji Gakumba

Gakumba amesema Kagere kwa sasa yuko mapumziko kwao nchini Rwanda na ametaka asihusishwe na taarifa zisizo na ukweli wala uthibitisho wowote

Jana kwenye mitandao ya kijamii zilisambaa taarifa kuwa Kagere amefikia makubaliano binafsi ya Zamaleki na timu hiyo kutoka Misri iko tayari kutoa Bilioni 1.2 kumsajili inara huyo wa mabao msimu uliomalizika ligi kuu ya Tanzania Bara

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’