Simba U20 yaichapa Kagera Sugar U20 3-1, yatinga nusu fainali

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Jun 2019
Simba U20 yaichapa Kagera Sugar U20 3-1, yatinga nusu fainali

Vijana wa Simba U20 wamefanikiwa kutinga nusu fainali ya ligi ya vijana baada ya kuichapa Kagera Sugar U20 mabao 3-1 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es salaam

Ushindi huo umeifanya Simba ifikishe alama nne na kupanda hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa kundi A wakiungana na watani zao Yanga U20 kutinga hatua ya nusu fainali

Mchezo wa nusu fainali utachezwa Jumatano dhidi ya Azam U20 au Mtibwa Sugar U20

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
4h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
14h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’