Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' leo kitacheza mchezo mwingine wa kirafiki dhidi ya Zimbabwe
Mchezo huo utapigwa kwenye uwanja wa El Sekka El Hadid uliopo jijini Cairo nchini Misri saa mbili usiku kwa saa za Tanzania
Huo utakuwa mchezo wa pili wa kirafiki kwa Stars inayojiandaa na fainali za AFCON 2019 zinazoanza wiki ijayo huko Misri
Mchezo wa kwanza Stars ilipoteza dhidi ya wenyeji Misri kwa kufungwa bao 1-0
ADVERTISE HERE