Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kimeendelea kujifua nchini Misri kujiandaa na michuano ya AFCON 2019 inayoanza wiki ijayo, Juni 21 huko Misri
Baada ya kupoteza mchezo wa kirafiki kwa bao 1-0 dhidi ya Misri juzi, Stars imerejea kujiwinda na michuano hiyo ambayo mwaka huu inashiriki kwa mara ya pili


ADVERTISE HERE