Saa saba mchana ndio habari ya mjini

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Jun 2019
Saa saba mchana ndio habari ya mjini

Uongozi wa Simba umewesema kipindi hiki cha usajili saa saba kamili mchana kila siku atatambulishwa mchezaji mmoja aliyemwaga wino Msimbazi

Zoezi hilo lilianza na nahodha John Bocco, Aishi Manula, Erasto Nyoni, Jonas Mkude na jana Beno Kakolanya

Juzi Mtendaji Mkuu wa Simba Crescentius Magori alisema utaratibu huo ndio utakaotumika kutambulisha wachezaji wapya wanaosajiliwa na Simba msimu huu

Alisema orodha ya nyota waliosaini Simba ni ndefu, amewataka wanachama na mashabiki wa Simba kuwa na amani kwani wakati huu kazi zinafanywa kwa weledi mkubwa

Msemaji wa Simba Haji Manara amesema leo saa saba mchana wanatarajia kuachia jina la nyota mwngine aliyemwaga wino Msimbazi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
9h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’