Mo akutana na Rais wa DR Congo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Jun 2019
Mo akutana na Rais wa DR Congo

Mfanyabishara na Mwekezaji wa klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' leo alipata nafasi ya kukutana na Rais wa Jamhuri ya Kideomkrasia ya Congo Mhe. Felix Tshisekedi ambaye yuko kwa ziara ya kikazi nchini

Pamoja na mambo mengine, Mo amesema anatarajia kuimarisha mazungumzo yao kuhusu fursa ya uwekezaji huko DR Congo

"Mapema leo nilifurahi kupata nafasi ya kukutana na Mhe. Felix Tshisekedi, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo hapa Dar es Salaam. Natarajia kuimarisha mazungumzo yetu kuhusu fursa za uwekezaji kwa Watanzania nchini DRC," ameandika Mo kwenye ukurasa wa mtandao wa kijamii

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
20m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
18h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
21h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’