Aliyekuwa mlinda lango wa Yanga Beno Kakolanya amesaini mkataba wa miaka miwili kuwatumikia mabingwa wa Tanzania Bara, Simba
Kakolanya amejiunga na Simba akiwa mchezaji huru baada ya kuvunja mkataba wake kunako klabu ya Yanga
Usajili wa Beno ulikuwa ukisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa Simba, hatimaye leo umetambulishwa rasmi


ADVERTISE HERE