Simba yapania kuendeleza ubabe dhidi ya Yanga leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Jun 2019
Simba yapania kuendeleza ubabe dhidi ya Yanga leo

Ligi Kuu ya Vijana U20 inaendelea leo ambao Simba itachuana na watani zao Yanga katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi saa kumi jioni

Simba na Yanga zimepangwa kundi A moja na Kagera Sugar na Ruvu Shooting

Kwenye mchezo wake wa kwanza Simba ililazimishwa sare dhidi ya Ruvu Shooting, matokeo kama hayo ikipata Yanga dhidi ya Kagera Sugar

Kwa miaka ya hivi karibuni Simba imeimarisha ubabe wake dhidi ya watani zao Yanga, timu zake zote kuanzia ya wakubwa, vijana na kinadada zikifanya vizuri

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
43m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’