Manula apongezwa kwa kuibeba Stars dhidi ya Misri

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Jun 2019
Manula apongezwa kwa kuibeba Stars dhidi ya Misri

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' jana ilicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Misri, wenyeji wa michuano ya AFCON 2019 inayoanza wiki ijayo

Mchezo huo uliomalizika kwa Misri kushinda bao 1-0, ulishuhudia mlinda lango Aishi Manula akiokoa michomo mingi langoni kwa Stars, ndiye aliyekuwa nyota wa mchezo huo

Nahodha wa Stars Mbwana Samatta amesema walicheza na timu bora barani Afrika na walifahamu mchezo hautakuwa mwepesi

"Tulifahamu mchezo hautakuwa mwepesi, Misri ni moja ya timu bora kabisa barani Afrika kwa sasa," amesema

"Tuliamua kucheza na Misri kwa sababu tulifahamu watatupa taswira ya marekebisho tunayopaswa kuyafanya kabla ya kuingia kwenye mashindano wiki ijayo"

Bao la Misri lilifungwa na El Mohammedy kwenye dakika ya 61

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’