Droo ligi ya mabingwa Afrika, kombe la shirikisho ni leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Dec 2017
Droo ligi ya mabingwa Afrika, kombe la shirikisho ni leo
Droo ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika na ile ya kombe la shirikisho inatarajiwa kufanyika leo Jumatano, Disemba 13 jiji la Cairo nchini Misri.

Yanga itaiwakilisha Tanzania kwenye michuano ya klabu bingwa barani Afrika huku Simba ikitarajiwa kushiriki michuano ya kombe la shirikisho.

Wydad Casablanca ya Morocco ndio mabingwa watetezi wa ligi ya mabingwa Afrika baada ya kuishinda Al Ahly mwezi uliopita huku TP Mazembe wakiwa mabingwa kombe la shirikisho kwa misimu mitatu mfululizo.

Kuelekea droo hiyo kocha msaidizi wa Simba, Masudi Djuma amesema kikosi chake kimejipanga kupambana na timu yoyote barani Afrika.

Amesema benchi la Ufundi litahakikisha Simba inatinga hatua ya makundi ya michuano hiyo ambaye mshindi wake atajizolea si chini ya Milioni 500.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
35m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’