Uongozi wa klabu ya Simba leo umeendelea na utaratibu wa kuwatambulisha wachezaji wake waliosaini mikataba mipya kuendelea kuwatumikia mabingwa hao wa Tanzania Bara
Leo ilikuwa zamu ya kiungo mkabaji Jonas Mkude ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kukipiga Msimbaz
Wachezaji wengine ambao mpaka sasa wameongeza mikataba kunako klabu ya Simba ni Aishi Manula, Erasto Nyoni na John Bocco

ADVERTISE HERE