Taarifa za uhakika ni kwamba uongozi wa Simba uko katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa mlinzi wa Lipuli FC raia wa Ghana, Asante Kwasi.
kamati ya usajili inayoongozwa na Mwenyekiti, Zacharia Hans Poppe inakamilisha taratibu za kumsajili mlinzi huyo anayetarajiwa kusaini mkataba wa miaka miwili.
Kwasi ndiye anayetarajiwa kurithi mikoba ya Methodi Mwanjali ambaye mkataba wake unaelezwa kuvunjwa na uongozi.
Asante Kwasi ndiye kinara wa upachikaji mabao kwenye kikosi cha Lipuli akiwa na mabao matano.

ADVERTISE HERE