Kiraka Erasto Nyoni ni miongoni mwa wachezaji waliosaini mkataba mpya wa kuitumikia Simba kabla hajakwea pipa kuelekea Misri na kikosi cha timu ya Taifa
Nyoni alisaini mkataba wa miaka miwili kuwatumikia mabingwa hao wa Tanzania Bara
Ameungana na Aishi Manula na John Bocco ambao pia walisaini mikataba kabla ya kwenda Misri

ADVERTISE HERE